Kocha wa Yanga Muargentina Miguel Gamondi na Kocha wa Simba SC Raia wa Afrika Kusini, Fadlu Davids wamekutana leo August 07,2024
Dar es salaam na kufanya mkutano wa pamoja na Waandishi wa Habari kuelekea nusu fainali ya ngao ya Jamii itakayowakutanisha Watani hao wa jadi kesho August 08,2024 katika uwanja wa Benjamin Mkapa.